• ePaper
Thursday, April 16, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

SERIKALI KUANZISHA KITENGO MAALUM KUPOKEA MAONI YA WANANCHI SAA 24

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 23, 2025
in Habari, Kitaifa
0
SERIKALI KUANZISHA KITENGO MAALUM KUPOKEA MAONI YA WANANCHI SAA 24

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu

0
SHARES
5
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amesema Serikali itaanzisha kitengo maalum cha huduma kitakachofanya kazi kwa saa 24 chenye jukumu la kupokea, kusikiliza na kufanyia kazi maoni, mapendekezo pamoja na kero za wananchi.

Kitengo hicho kitawezesha wananchi kuwasilisha changamoto zao moja kwa moja bila vikwazo vya kiurasimu na kusaidia Serikali kupata mrejesho wa haraka kwa ajili ya kuboresha sera na huduma.

Sangu amebainisha hayo Desemba 23, 2025 Sumbawanga Mkoani Rukwa alipofanya kikao na wadau wa Mahusiano kutoka makundi ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi na wawakilishi wa kundi la Vijana.

Aidha, amesisitiza umuhimu wa mawasiliano na uwajibikaji kati ya Serikali na wananchi kwa ajili ya kuimarisha imani, mshikamano wa kitaifa na maendeleo jumuishi.

‎Aidha, amesema lengo la kikao ni kutambulisha shughuli za Ofisi yake na kutekekeza mkakati wa kuwafikia wadau wa mahusiano ili kujenga uelewa wa pamoja kwa maendeleo ya Taifa.

Kikao hicho kimeongozwa na Kauli mbiu isemayo “Mahusiano imara, Msingi wa Mshikamo wa Taifa”

Previous Post

DK. MWIGULU HAPOI

Next Post

BIL. 36.6/- ZAPAISHA UCHUMI WA VIJANA

Next Post
BIL. 36.6/- ZAPAISHA UCHUMI WA VIJANA

BIL. 36.6/- ZAPAISHA UCHUMI WA VIJANA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUBAKI HISTORIA

MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUBAKI HISTORIA

8 months ago
MAKONDA AJITOSA MABADILIKO SIMBA

MAKONDA AJITOSA MABADILIKO SIMBA

2 months ago

Popular News

  • MAFANIKIO YA KISHINDO SGR

    MAFANIKIO YA KISHINDO SGR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NYAMBUI AFUNGUKAAMANI KATIKA MICHEZO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA, MBEYA CITY KAZI IPO LEO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. MWINYI AFICHUA KUWA NA KIPAJI CHA SOKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • PROFESA IBRAHIM ATIA NENO TUME YA JAJI CHANDE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?