• ePaper
Thursday, June 18, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

RAIS DK. SAMIA KINARA UPANDAJI MITI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 23, 2026
in Habari, Kitaifa
0
RAIS DK. SAMIA KINARA UPANDAJI MITI
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Watanzania katika shughuli ya upandaji miti itakayofanyika Januari 27 mwaka huu, maeneo ya Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar ikiwa sehemu ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Shughuli hiyo yenye kaulimbiu “Uzalendo ni Kutunza Mazingira, Shiriki Kupanda Miti” linaakisi dhamira ya Rais Dk. Samia katika kuendeleza ajenda ya Taifa ya uhifadhi na utunzaji wa mazingira, ikiwemo upandaji miti, ulinzi vyanzo vya maji, kuimarisha uoto wa asili na kuchangia kwa vitendo juhudi za kukabiliana dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo ya habari na Mkurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu, ilisema shughuli hiyo ni ishara ya uwajibikaji wa pamoja na inatoa fursa kwa kila mmoja, kwa nafasi yake na mahali alipo, kushiriki kulinda na kuenzi mazingira kwa manufaa ya sasa na kizazi kijacho.

“Mheshimiwa Rais anatoa wito kwa Watanzania kuendelea kujenga utamaduni wa kulinda na kuhifadhi mazingira kwa hiyari, wakitambua kuwa ulinzi wa mazingira ni msingi wa uhai, maendeleo na usalama wa Taifa,” alisisitiza.

Pia, ilisema Rais Dk. Samia aliwahimiza wananchi, taasisi na wadau wa mazingira kushiriki kuendeleza ajenda ya uhifadhi wa mazingira, ikiwemo kupanda angalau mti mmoja nyumbani, shuleni, kazini au katika maeneo ya jamii.

Previous Post

PAWASA, MTEMI WAZIPA MCHONGO YANGA, SIMBA

Next Post

KIHONGOSI ATOBOA SIRI UIMARA WA CCM

Next Post
KIHONGOSI ATOBOA SIRI UIMARA WA CCM

KIHONGOSI ATOBOA SIRI UIMARA WA CCM

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

WASIRA  AELEKEZA MAMBO MATATU YA USHINDI CCM

WASIRA AELEKEZA MAMBO MATATU YA USHINDI CCM

9 months ago
YANGA ‘FULL’MZUKA CAFCL

YANGA ‘FULL’MZUKA CAFCL

7 months ago

Popular News

  • WABUNGE: AMANI ISICHEZEWE

    WABUNGE: AMANI ISICHEZEWE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WABUNGE WAIPONGEZA NSSF NA PSSSF KWA KUANZISHA SKIMU YA HIFADHI KWA WALIOJIAJIRI NA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA NGOZI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WABUNGE WAPONGEZA UWEKEZAJI KLICL

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAKAGUZI WA CAF WARIDHISHWA NA MAENDELEO YA VIWANJA VYA AFCON 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MKAKATI KUDHIBITI VIFO WAJAWAZITO WAANIKWA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?