• ePaper
Friday, October 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

AHMED ALLY AJIVUNIA GUEYE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 3, 2026
in Burudani, Habari, Michezo
0
AHMED ALLY AJIVUNIA GUEYE
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na ABDUL DUNIA, ZANZIBAR

MENEJA wa Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema nyota wa timu hiyo, Libasse Gueye ni moto wa kuotea mbali kwa mabeki wa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara.

Ahmed alitoa kauli hiyo juzi baada ya Simba kutoka suluhu dhidi ya Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo uliopigwa Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja.

“ Libase ni mwiba kwa mabeki wa timu mbalimbali, Gueye ni kipimo sahihi cha umri wa wachezaji, hakabiki ni mwiba kweli kweli. Hakuna anayeweza kukataa hilo,” alisema.

Kuhusu suluhu, Ahmed alisema timu yake haikustahili kupata matokeo hayo zaidi ya ushindi kwani ilikuwa katika kiwango cha juu kuliko Yanga.

“Najua hata wao wanajua, tulistahili kupata ushindi na sio sare. Hata wasipokiri hadharani lakini mioyoni mwao wanakiri kwamba tulikuwa na kiwango gani leo,” alisema.

Previous Post

UBINGWA LIGI KUU WAWATEGA BARKER, PEDRO 

Next Post

RAIS DK. SAMIA ANAVYOANDIKA HISTORIA YA UWEKEZAJI KIUCHUMI

Next Post
RAIS DK. SAMIA ANAVYOANDIKA HISTORIA YA UWEKEZAJI KIUCHUMI

RAIS DK. SAMIA ANAVYOANDIKA HISTORIA YA UWEKEZAJI KIUCHUMI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

JESCA MAGUFULI AWATAKA SHINYANGA KUIAMINI CCM

JESCA MAGUFULI AWATAKA SHINYANGA KUIAMINI CCM

1 year ago
CCM YATAKA VIONGOZI WASIOYUMBA -WASIRA

CCM YATAKA VIONGOZI WASIOYUMBA -WASIRA

2 months ago

Popular News

  • WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA SIMBA AICHIMBA YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMULIZI MKASA WA MWANAMKE ANAYEDAIWA KUUAWA KWA RISASI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TPA YAELEZA SIRI UTOAJI HUDUMA BORA BANDARINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?