• ePaper
Wednesday, June 10, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

BILIONI 400/- KUJENGA ARENA YA KISASA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 4, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
BILIONI 400/- KUJENGA ARENA YA KISASA
0
SHARES
17
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NA FRED ALFRED
DODOMA

NAIBU  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amesema Serikali imetenga jumla ya sh.bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa ukumbi mkubwa wa kisasa (Arena) pamoja na studio za kisasa za filamu nchini.

Mwinjuma aliyasema hayo bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la  Mbunge wa Makete (CCM) Festo Sanga, aliyetaka kujua ni lini mchakato wa ujenzi wa ukumbi huo utakamilika.

Akijibu hilo Mwinjuma alifafanua kuwa, serikali inaendeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha sekta za sanaa, utamaduni na michezo kupitia uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya kisasa.

Mwinjuma alisema kuwa maandalizi ya utekelezaji wa mradi huo, yapo katika hatua za mwisho, huku ujenzi ukitarajiwa kuanza katika kipindi cha karibuni.

“Ujenzi wa Arena umetengewa fedha katika bajeti ya mwaka huu ambapo sh.bilioni 400 zitapatikana kutokana na mkopo wa masharti nafuu kutoka benki ya Korea na mchakato wa ujenzi utaanza hivi karibuni,”

Aliwatoa hofu wananchi na wadau wa michezo kuwa suala hilo, serikali italitekeleza na lipo katika hatua za mwisho za kuanza utekelezaji wake.

Previous Post

YANGA YATAMBIA REKODI LIGI KUU

Next Post

VIONGOZI WA DINI WAHUBIRI AMANI 

Next Post
VIONGOZI WA DINI WAHUBIRI AMANI 

VIONGOZI WA DINI WAHUBIRI AMANI 

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA LUKUVI

DK. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA LUKUVI

3 months ago
MBARAWA AIPONGEZA TASAC KUSIMAMIA NA KUDHIBITI USAFIRI MAJINI KWA UFANISI

MBARAWA AIPONGEZA TASAC KUSIMAMIA NA KUDHIBITI USAFIRI MAJINI KWA UFANISI

3 months ago

Popular News

  • WASOMI WADOKEZA MANUFAA YA UWEKEZAJI MAENEO MANNE

    WASOMI WADOKEZA MANUFAA YA UWEKEZAJI MAENEO MANNE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA, SIMBA ZATOA MSIMAMO LIGI KUU BARA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWANZA KINARA USIMAMIZI MAAFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WFP KUENDELEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA USIMAMIZI WA MAAFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • HESHIMA KUBWA KWA TANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?