• ePaper
Sunday, May 17, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

BARKER MENO NJE MSIMBAZI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 14, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
BARKER MENO NJE MSIMBAZI
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

BAADA ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la FA, Kocha wa Simba, Steve Barker, amesema amefurahishwa na kiwango kizuri kilichoonyeshwa na wachezaji wake katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji.

Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji juzi katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la FA katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Akizungumza baada ya mchezo huo, Barker alisema amefurhishwa na kiwango kizuri kilichoonyeshwa na wachezaji wake.

Alisema timu yake ilistahili ushindi huo kwa kuwa ilikuwa katika kiwango chenye ubora wa hali ya juu.

“Nilikuwa nina imani kuwa tutafunga na kushinda mechi kutokana na ubora wa wachezaji wangu, nimefurahishwa sana na matokeo haya ambayo yametupeleka hatua ya robo fainali,” alisema.

Kocha huyo alisema baada ya kumaliza kibarua dhidi ya Dodoma Jiji, hivi sasa anarudi uwanja wa mazoezi kukiandaa kikosi kwa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate itakayopigwa kesho katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Previous Post

MAMBO YAZIDI KUNOGA AFCON 2027

Next Post

YANGA UBABE UBABE

Next Post
YANGA UBABE UBABE

YANGA UBABE UBABE

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SIKUKUU YA BURUDANI

SIKUKUU YA BURUDANI

8 months ago
KOCHA SERENGETI BOYS AANIKA SIRI KUTWAA UBINGWA CECAFA

KOCHA SERENGETI BOYS AANIKA SIRI KUTWAA UBINGWA CECAFA

5 months ago

Popular News

  • DK. MWIGULU AHIMIZA WANANCHI KUIOMBEA AMANI YA NCHI

    DK. MWIGULU AHIMIZA WANANCHI KUIOMBEA AMANI YA NCHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA KITAIFA YA RAIS MSTAAFU MOGAE WA BOTSWANA, AKIMWAKILISHA RAIS DK. SAMIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DANGOTE AIPONGEZA SERIKALI, AANGAZIA FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TANZANIA NI NCHI YA PILI AFRIKA KUWA NA HADHI YA  UTALII WA JIOLOJIA (GEOPARK MUSEUM)

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SERIKALI YAIPONGEZA PUMA ENERGY KWA MFUMO MPYA WA KIDIJITALI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?