• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

MUOSHA MAGARI AAMRIWA KUFANYA USAFI MAHAKAMANI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 15, 2026
in Habari, Kitaifa
0
MUOSHA MAGARI AAMRIWA KUFANYA USAFI MAHAKAMANI
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na SYLVIA SEBASTIAN 

MAHAKAMA ya Mwanzo Kariakoo, Dar es Salaam, imemhukumu muosha magari John Mpali, kifungo cha nje cha miezi miwili kwa kufanya usafi mahakama hapo.

Pia, mahakama imemwamuru Mpali kumrudishia sh.110,000 mlalamikaji Mohamed Ango, baada ya kukiri kosa la wizi wa fedha hizo, zilizokuwa ndani ya gari.ed Ango.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Mpoki Mwabela, baada ya mshitakiwa kusomewa shtaka na kukiri.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mpoki alisema kwa sababu mshitakiwa alikiri shtaka na hakutaka kuisumbua mahakama, hivyo anamhukumu kifungo cha nje cha miezi miwili na kurudisha fedha ifikapo Mei 13, mwaka huu.

Kabla ya kutolewa adhabu, mshitakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwa madai ni kosa lake la kwanza na yuko tayari kumrudishia mlalamikaji fedha zake.

Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, mshitakiwa alitenda kosa hilo, Aprili Mosi, mwaka huu, Posta karibu na Hoteli ya Holiday Inn, mtaa wa Azikiwe, Dar es Salaam.

Mshitakiwa aliiba fedha zilizokuwa ndani ya gari alilopewa na mlalamikaji kuosha.

Previous Post

SERA USIMAMIZI MALI ZA UMMA, KICHOCHEO CHA UKUAJI UCHUMI

Next Post

MAMBO YAANZA KUNOGA MEI MOSI

Next Post
MAMBO YAANZA KUNOGA MEI MOSI

MAMBO YAANZA KUNOGA MEI MOSI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

KUWEKEZA KWA WANAWAKE NI MANUFAA YA JAMII

KUWEKEZA KWA WANAWAKE NI MANUFAA YA JAMII

7 months ago
MWIGULU APIGILIA MSUMARI

MWIGULU APIGILIA MSUMARI

6 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?