• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

YANGA YATIMUA VUMBI CAF, SIMBA MMH

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 22, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
YANGA YATIMUA VUMBI CAF, SIMBA MMH
0
SHARES
14
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

KLABU ya Yanga imezidi kuwa tishio Afrika baada ya kushika nafasi 12 kwa ubora  huku  Simba ikiporomoka katika viwango vya ubora wa klabu Afrika.

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Simba baada ya kutokuwa na msimu bora katika michuano ya kimataifa 2025/2026 imeporomoka.

Katika viwango vipya, Simba ipo nafasi ya 11 kwa pointi 38, ikishuka kwa nafasi sita kutoka nafasi ya tano iliyokuwa nayo mwaka jana.

Katika Ligi ya Mabingwa  Afrika (CAFCL) msimu huu, Simba ilimaliza mkiani mwa kundi D nyuma ya Stade Malien ya Mali, Esperance ya Tunisia na Petro Luanda ya Angola.

Wakati Simba ikishuka, Yanga ipo nafasi ya 12 ikiwa na pointi 35 ikizipita klabu za Wydad Casablanca, ASEC Mimosas, Orlando Pirates na TP Mazembe.

Azam FC imepanda hadi nafasi ya 38 sambamba na Singida Black Stars baada ya kuishia makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).

Previous Post

RAIS DK. SAMIA AMPA TANO SIMBU

Next Post

SITAWAANGUSHA

Next Post
SITAWAANGUSHA

SITAWAANGUSHA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

BUNGE LA 13 KUANZA RASMI KESHO DODOMA

BUNGE LA 13 KUANZA RASMI KESHO DODOMA

9 months ago
MANGUNGU AFUNGUKA SIMBA

MANGUNGU AFUNGUKA SIMBA

5 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?