• ePaper
Thursday, April 23, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MWANDAAJI MISS WORLDTZ AITAJA AMANI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 23, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
MWANDAAJI MISS WORLDTZ AITAJA AMANI
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

MWANDAAJI wa mashindano ya ‘Miss World Tanzania’, Mustafa Hassan Hassanali amesema uwepo wa utulivu na amani nchini ndiyo sababu ya Tanzania kupata nadasi ya kuwa wenyeji wa mashindano ‘Miss World’.

Hassan alisema hayo Dar es Salaam,  kuwa kitendo cha kuwepo amani na utulivu kimewavutia waandaji kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa kuandaa mashindano hayo makubwa duniani.

Hassan ambaye ni mbunifu wa mavazi amewataka Watanzania kutumia fursa hiyo, kujitangaza katika mashindano ya ‘Miss World’ yatakayofanyika mwakani na kushirikisha nchi zaidi ya 130.

“Serikali yetu imetupa fursa ambayo tunapaswa kuichangamkia, kwangu nimeona ni jambo la fahari kuona Tanzania tunakwenda kuwa wenyeji wa mashindano ya ‘Miss World’.

“Haya ni mashindano makubwa hivyo tunapaswa kuipoingeza serikali yetu kwani mwakani tutakuwa na wageni wengi kutoka mataifa mbalimbali,” alisema Hassanali.

Muandaaji huyo aliongeza kuwa kila mtu anapaswa kujipanga na kufanya ambayo litawafurahisha wageni ambao watakuja nchini na kuweka historia.

“Tunaishukuru serikali yetu nchini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mashindano ya ‘Miss World’ kufanyika hapa nchini, tunapaswa tumsapoti Rais wetu,” alisema.

Previous Post

SIMBA, MAFUNZO HAPATOSHI

Next Post

RIPOTI YA KUPONYA

Next Post
RIPOTI YA KUPONYA

RIPOTI YA KUPONYA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. SAMIA, AWAAHIDI WATANZANIA NEEMA  AKICHAGULIWA OKTOBA 29

DK. SAMIA, AWAAHIDI WATANZANIA NEEMA AKICHAGULIWA OKTOBA 29

8 months ago
RAIS DK. SAMIA ATAJA SABABU MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

RAIS DK. SAMIA ATAJA SABABU MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

3 months ago

Popular News

  • NDEJEMBI ATAJA VIPAUMBELE 10 SEKTA YA NISHATI

    NDEJEMBI ATAJA VIPAUMBELE 10 SEKTA YA NISHATI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWIGULU ATOA MAAGIZO ALAT

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RIPOTI YA KUPONYA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWANDAAJI MISS WORLDTZ AITAJA AMANI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMBA, MAFUNZO HAPATOSHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?