• ePaper
Wednesday, April 29, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

SIMBA, MLANDEGE NI KUFA AU KUPONA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 26, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
SIMBA, MLANDEGE NI KUFA AU KUPONA
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na NASRA KITANA

TIMU za soka za Simba na Mlandege zinatarajiwa kupambana katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Muungano utakaopigwa Uwanja wa   New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 2:15 usiku.

Katika mashindano hayo, Mlandege FC ndio walianza kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars, wakati Simba ilitinga hatua hiyo baada ya kuichapa bao 1-0 timu ya Mafunzo FC mechi zote zilipwa Uwanja wa New Amaan Complex.

Kuelekea pambano hilo, kocha wa Simba, Steve Barker alisema timu yao imejipanga vizuri kuhakikisha wanapata ushindi.

 “Maandalizi kwetu yamekamilika na wachezaji wangu wote wapo tayari kwenda kufanya kila kilichokuwa bora katika mechi hii, ingawa tunafahamu tunakwenda kucheza na timu yenye mafanikio hapa Zanzibar,” alisema Barker.

Nyota wa Simba, David Kameta alisema kama wachezaji watahakikisha wanapambana mwanzo mwisho kupata ushindi na kutinga fainali.

 “Nia yetu wachezaji ni kwenda kuchukua ubingwa, ila maandalizi yetu ni mazuri na yanatosha kushinda mchezo wa kesho (leo) pamoja na taji hili,” alisema Kameta.

Kocha Msaidizi wa Mlandege FC, Sabri Ramadhan China, alisema wachezaji wote wapo vizuri na wamejipanga kufanya vyema.

“Wachezaji wangu wapo vizuri na wameniahidi kujituma kadri ya uwezo wao, na mimi nimewapa mbinu nzito,” alisema China.

Previous Post

MAKONDA ATOA NENO AFCON 2027

Next Post

OMR YANAWIRI KARATA WANAWAKE MEI MOSI

Next Post
OMR YANAWIRI KARATA WANAWAKE MEI MOSI

OMR YANAWIRI KARATA WANAWAKE MEI MOSI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

TAIFA STARS YAWEKA HISTORIAYA KIBABE AFCON

TAIFA STARS YAWEKA HISTORIAYA KIBABE AFCON

4 months ago
TASAF YABAINISHA MAFANIKIO MPANGO WA KUPUNGUZA UMASKINI

TASAF YABAINISHA MAFANIKIO MPANGO WA KUPUNGUZA UMASKINI

4 months ago

Popular News

  • TANZANIA YAJINADI KIMATAIFA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

    TANZANIA YAJINADI KIMATAIFA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • VYALENGA KUIJENGA JAMII KIUCHUMI NA KIROHO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KUVUMILIANA MUHIMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI SANGU ABAINISHA HIFADHI SKIMU INAVYOENDA KUBADILI MAISHA YA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUCTA: WAAJILI WATEKELEZE NYONGEZA YA KIMA CHA MISHAHARA SEKTA BINAFSI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?