RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk. Moses Kusiluka, uteuzi na uhamisho huo ni…











