• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

SIMBA SC YAWATOA HOFU MASHABIKI KUHUSU BAJABER

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
November 28, 2025
in Burudani, Kitaifa, Michezo
0
SIMBA SC YAWATOA HOFU MASHABIKI KUHUSU BAJABER
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na DEUSDEDEDIT UNDOLE

KLABU ya Simba imesema kiungo wake Mohamed Bajaber yupo fiti kwa asilimia 100 na anaweza kupatikana katika mechi zijazo.

Bajaber raia wa Kenya, alitua Simba msimu huu akitokea Polisi ya nchini humo ambayo ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita.

Akizungumza Dar es Salaam, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally  alisema ni kweli mchezaji Bajeber alikuwa majeruhi kwa takriban miezi miwili tangu  alipojiunga na kikosi hicho msimu huu.

Amwesema hivi sasa mchezaji huyo ameimarika kwa asilimia 100, hivyo mpango wa kumhusisha kikosini ni kazi ya benchi la ufundi chini ya Meneja Dimitar Pantev.

“Tunasafiri na winga wetu Bajaber kwenda nchini Mali kwa mechi ya pili ya makundi ya CAFCL dhidi ya timu mwenyeji ya Stade Malien ya nchini humo. Ninawatoa tu hofu mashabiki wa Simba kuhusiana na utimamu wa afya ya winga huyo, kwani wanachopaswa kukijua ni Bajaber yuko ‘fiti’,” amesema.

Previous Post

JKT YATAKATA LIGI KUU BARA

Next Post

RAIS DK. SAMIA AWAGUSA WENGI

Next Post
RAIS DK. SAMIA AWAGUSA WENGI

RAIS DK. SAMIA AWAGUSA WENGI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DAKTARI AANIKA UNDANI UPANDIKIZAJI WA UUME

DAKTARI AANIKA UNDANI UPANDIKIZAJI WA UUME

6 days ago
KIHONGOSI AKEMEA ‘WANAOVIMBA’ CCM

KIHONGOSI AKEMEA ‘WANAOVIMBA’ CCM

2 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?