• ePaper
Tuesday, July 14, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

JKT YATAKATA LIGI KUU BARA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
November 28, 2025
in Burudani, Kitaifa, Michezo
0
JKT YATAKATA LIGI KUU BARA
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikizidi kupamba moto, timu ya JKT Tanzania ndiyo kinara wa kupachika mabao hadi sasa msimu huu.

JKT Tanzania ambayo ndiyo kinara wa ligi hiyo, imepachika mabao 10 katika mechi nane ilizocheza hadi sasa msimu huu.

Katika ligi hiyo, JKT Tanzania imevuna pointi 13 huku ikiruhusu mabao manane katika nyavu zake.

Kikosi hicho kinafuatiwa na Yanga iliyofunga mabao tisa katika mechi nne, ikiruhusu bao moja na kushika nafasi ya tatu katika msimamo baada ya kuvuna pointi 10.

Simba iliyopo katika nafasi ya tano katika msimamo wa ligi baada ya kuvuna pointi tisa katika mechi tatu, imefunga mabao manane na kuruhusu moja.

Timu hizo zinafuatiwa na Mbeya City iliyopachika mabao saba, Namungo iliyofunga mabao sita, Mashujaa iliyofunga mabao matano, Pamba Jiji iliyopachika mabao matano, Coastal Union iliyofunga mabao matano na Dodoma Jiji iliyopachika mabao matano.

Previous Post

KETE MUHIMU KWA YANGA LEO

Next Post

SIMBA SC YAWATOA HOFU MASHABIKI KUHUSU BAJABER

Next Post
SIMBA SC YAWATOA HOFU MASHABIKI KUHUSU BAJABER

SIMBA SC YAWATOA HOFU MASHABIKI KUHUSU BAJABER

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

UTEKELEZAJI ILANI UNVYOCHOCHEA MAGEUZI SEKTA YA AFYA UVINZA

UTEKELEZAJI ILANI UNVYOCHOCHEA MAGEUZI SEKTA YA AFYA UVINZA

5 months ago
RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MZEE MTEI

RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MZEE MTEI

6 months ago

Popular News

  • CHINA YAZIDI KUSISITIZA USHIRIKIANO KWA AFRIKA

    CHINA YAZIDI KUSISITIZA USHIRIKIANO KWA AFRIKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMBA, SINGIDA BS MACHO ‘KAGAME CUP’

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. MWINYI : TAMKO LA PAMOJA CCM NA ACT-WAZALENDO LAFUNGUA NJIA YA UTEKELEZAJI WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BIL.8/- KUISUKA AZAM FC

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WADAU WAMGOMEA SAMATTA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?