• ePaper
Sunday, May 31, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MOURINHO WA YANGA PRINCESS AFUNGUKA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 24, 2025
in Burudani, Michezo
0
MOURINHO WA YANGA PRINCESS AFUNGUKA
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema maarufu Mourinho, amesema anafurahishwa na ubora wa kikosi chake unaoonyeshwa sasa katika mechi za Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara.

Edna ametoa kauli hiyo baada ya Yanga Princess kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Geita Queens katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam.

Kutokana na ushindi huo, Yanga Princess ipo kileleni mwa msimamo ikiwa na pointi 12 wakati nafasi ya pili ikishikwa na Simba Queens yenye pointi 12 wakitofautiana mabao wakati JKT Queens ikiwa nafasi ya tatu kwa pointi 10, zote zikishuka dimbani mara nne.

Kocha huyo amesema wachezaji wake wamekuwa na kiwango kizuri hivi sasa kutokana na kufuata vizuri maelekezo anayowapatia.

“Timu imebadilika kwa kiwango kikubwa, ninaona mabadiliko kwa mtu moja moja, kitu ambacho nimefarijika kuona wachezaji chipukizi kufanya vizuri baada ya kuwapa nafasi ya kucheza,” amesema.

Kocha huyo ameongeza kuwa,  kikosi chake kimekuwa na wakati nzuri msimu huu kutokana na kuwa na umakini mzuri katika kutumia nafasi.

Mchezaji wa Yanga Princess, Jeaninne Mukandayisenga, alisema malengo yao ni kuchukua ubingwa wa ligi hivyo na anaamini inawezekana kwani watapambana kuhakikisha wanapata ushindi katika mechi zao.

“Tutahakikisha tunapambana kupata ushindi katika kila mechi, malengo yetu ni kuchukua ubingwa wa ligi tunatambua kuna ushindani kubwa, tumejipanga,” amesema.

Previous Post

MWAMENGO, DEPU WANUKIA YANGA

Next Post

MASAUNI ATAKA WANAHABARI KUELIMISHA MUUNGANO

Next Post
MASAUNI ATAKA WANAHABARI KUELIMISHA MUUNGANO

MASAUNI ATAKA WANAHABARI KUELIMISHA MUUNGANO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MELI KUBWA NNE ZA MIZIGO KUIFUNGUA TANZANIA KIUCHUMI

MELI KUBWA NNE ZA MIZIGO KUIFUNGUA TANZANIA KIUCHUMI

3 months ago
YANGA, SIMBA TAMBO TUPU

YANGA, SIMBA TAMBO TUPU

3 months ago

Popular News

  • SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAS: UTUNZAJI MAZINGIRA AJENDA YA KIPAUMBELE KWA MKOA WA MWANZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UPELE UMEPATA MKUNAJI STARS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ‎ RAIS DK. SAMIA: POLISI MSIDHARAU TAARIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWIGULU ATETA NA WAZIRI MKUU WA CONGO BRAZZAVILLE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?