• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

JELA MIAKA 25 KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 26, 2025
in Habari, Kitaifa
0
JELA MIAKA 25 KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
0
SHARES
13
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Iddi Nassoro kifungo cha miaka 25 gerezani baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine kilo 1.02.

Nassoro alikamatwa na dawa hizo katika Stendi ya Mabasi Magufuli iliyopo Mbezi akisafirisha kwenda mkoani Tanga ambapo katika kesi hiyo wenzake watatu wameachiwa huru.

Hukumu hiyo ilitolewa mahakamani hapo na Jaji Godfrey Isaya baada ya mahakama kupitia ushahidi wa pande zote mbili.

Baada ya mahakama kupitia ushahidi huo, ilithibitisha shtaka la kusafirisha dawa za kulevya pasipo kuacha shaka dhidi ya mshtakiwa wa pili.

Jaji Isaya alisema mahakama iliona upande wa mashtaka ulishindwa kuthibitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa wa kwanza Maliki Maliki, Ally Maliki ambaye ni kocha wa mpira wa miguu na Mwingi Mwinyi hivyo iliwaachia huru.

Washtakiwa katika shauri hilo walikuwa wakikabiliwa na mashtaka mawili ambapo katika shtaka la kwanza walidaiwa Machi 24 mwaka 2022 maeneo ya Stendi ya Magufuli Mbezi walikutwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroine kilo 1.02 kwenda mkoani Tanga.

Previous Post

MIILI YA WALIOFARIKI AJALI YA HELKOPTA YATAMBULIWA

Next Post

SERIKALI YATOA MILIONI 800/- UJENZI KITUO CHA POLISI

Next Post
SERIKALI YATOA MILIONI 800/- UJENZI KITUO CHA POLISI

SERIKALI YATOA MILIONI 800/- UJENZI KITUO CHA POLISI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MAJALIWA : MRADI GESI YA LNG KUIKOMBOA LINDI KIUCHUMI

MAJALIWA : MRADI GESI YA LNG KUIKOMBOA LINDI KIUCHUMI

12 months ago
DK. SAMIA : WANAWAKE TUNA UWEZO KUONGOZA

DK. SAMIA : WANAWAKE TUNA UWEZO KUONGOZA

11 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?