• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

KISA MABAO 1,000, RONALDO AGOMA KUTUNDIKA DARUGA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 31, 2025
in Burudani, Michezo
0
KISA MABAO 1,000, RONALDO AGOMA KUTUNDIKA DARUGA
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RIYADH, Saudi Arabia

NAHODHA wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo amesema hatostaafu soka hadi atakapoweka rekodi ya kufunga mabao 1,000.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 40, hivi sasa ana mabao 956 katika maisha yake ya soka baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Al Akhdoud katika Ligi Kuu ya Saudi Arabia.

Ronaldo aliyejiunga na Al Nassr mwaka 2022, Julai mwaka huu alisaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga katika timu hiyo hatua ambayo inaweza kumfanya akacheza hadi atakapokuwa na umri wa miaka 42.

Akizungumza baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Mashariki ya Kati katika tuzo za Globe Soccer Awards mwishoni mwa wiki, mkongwe huyo alisema ni ngumu kuendelea kucheza soka lakini bado anaendelea kuhamasika. 

“Malengo yangu nataka kushinda mataji na kufikia hiyo idadi (mabao 1,000) ambayo kila mmoja anajua. Nitafikia hiyo idadi kwa hakika, kama sitopata majeraha,” alisema. 

Katika mechi 14 alizoitumikia Al Nassr msimu huu, Ronaldo amefunga mabao 13.

Previous Post

HAPATOSHI ‘KNOCKOUT YA MAMA’ KIJITONYAMA

Next Post

KOCHA TUNISIA AKIRI UPINZANI AFCON

Next Post
KOCHA TUNISIA AKIRI UPINZANI AFCON

KOCHA TUNISIA AKIRI UPINZANI AFCON

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

‘BODA BODA KWANGU NI ZAIDI YA KAZI INAYONIWEKA MJINI’

‘BODA BODA KWANGU NI ZAIDI YA KAZI INAYONIWEKA MJINI’

8 months ago
IJUE SHERIA MPYA YA FIDIA KWA ABIRIA WA NDEGE 

IJUE SHERIA MPYA YA FIDIA KWA ABIRIA WA NDEGE 

9 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?