• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

PEDRO RAHA TUPU YANGA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 21, 2026
in Burudani, Michezo
0
PEDRO RAHA TUPU YANGA
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na NASRA KITANA

KOCHA wa Yanga, Mreno Pedro Goncalves, amesema anafurahia kuona wachezaji wake wakielewa staili ya uchezaji anayoifundisha katika timu hatua ambayo itakuwa chachu kwa wachezaji wapya kuingia katika mfumo wake.

Pedro alitoa kauli hiyo baada ya Yanga kutandaza soka safi na kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa KMC, Dar es Salaam.

Katika mtanange huo, mabao ya Yanga yalifungwa na Duke Abuya, Pacome Zouzoua, Prince Dube, na Mudathir Yahya, Mohamed Damaro na Laurindo Aurelio ‘Depu’ kila mmoja akiweka kimiani bao moja.

Pedro alisema ana furaha kuona kikosi chake kikianza kufuata anachokifundisha mazoezini hasa mbinu za kiufundi.

“Ninafurahia kuona wachezaji wangu wameanza kuelewa kile ambacho ninakihitaji, hivyo itakuwa rahisi kwao na wachezaji wapya katika mfumo moja kwa moja,” alisema.

Katika dirisha dogo, Yanga imemsajili Damaro, Okello, Depu na kipa Hussein Masalanga kuimarisha kikosi kwa mechi tofauti ikiwemo katika Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika

(CAFCL).

Previous Post

DK. MIGIRO AWAPA MAAGIZO MAWAZIRI

Next Post

FIFA YADHAMIRIA KUWEKA NGUVU TANZANIA

Next Post
FIFA YADHAMIRIA KUWEKA NGUVU TANZANIA

FIFA YADHAMIRIA KUWEKA NGUVU TANZANIA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

KOCHA GAMONDI AWAANGUKIA MASHABIKI

KOCHA GAMONDI AWAANGUKIA MASHABIKI

6 months ago
SMZ KUWACHUKULIA HATUA VIONGOZI AMBAO HAWATAWASILISHA FOMU ZA MAADILI KWA WAKATI

SMZ KUWACHUKULIA HATUA VIONGOZI AMBAO HAWATAWASILISHA FOMU ZA MAADILI KWA WAKATI

9 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?