• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

TAIFA STARS KUKIPIGA FIFA SERIES 2026

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
February 25, 2026
in Burudani, Habari, Kimataifa, Kitaifa, Michezo
0
TAIFA STARS KUKIPIGA FIFA SERIES 2026
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

TIMU ya taifa ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuchuana katika mashindano maalumu ya kirafiki ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ambayo yanajulikana kama FIFA Series 2026.

Katika michuano hiyo itakayofanyika katika maeneo mbalimbali kuanzia Machi 25 hadi Machi 31, mwaka huu, Tanzania imepangwa katika kundi la Rwanda B ambapo mechi zake zitachezwa Uwanja wa Pele, Kigali nchini Rwanda.

Kundi hilo linaudwa na timu za Tanzania kutoka Bara la Afrika, Macau iliyopo Asia, Aruba kutoka Amerika Kusini na Liechtenstein iliyopo Ulaya.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na FIFA, Tanzania itakipiga na Liechtenstein wakati Aruba ikicheza na Macau na mshindi wa kila mechi atatinga fainali wakati itakayofungwa itacheza mshindi wa tatu.

Mbali na kundi la Rwanda B ililopo Tanzania, makundi mengine ni Australia, Azerbaijan, New Zealand, Kazakhstan, Rwanda A, Indonesia, Puerto Rico, Uzbekhstan na Rwanda B.

Previous Post

SIMBA, YANGA MZIGONI LEO

Next Post

MAYWEATHER, PACQUIAO, KUZICHAPA TENA SEPTEMBA

Next Post
MAYWEATHER, PACQUIAO, KUZICHAPA TENA SEPTEMBA

MAYWEATHER, PACQUIAO, KUZICHAPA TENA SEPTEMBA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU USAFI NA UPANGAJI VIZIMBA KIVUTIO MUHIMU

MAELEKEZO YA SERIKALI KUHUSU USAFI NA UPANGAJI VIZIMBA KIVUTIO MUHIMU

4 months ago
WAJUE WAKALI WA MABAO AFCON 2025

WAJUE WAKALI WA MABAO AFCON 2025

7 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?