• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MAYWEATHER, PACQUIAO, KUZICHAPA TENA SEPTEMBA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
February 25, 2026
in Burudani, Habari, Michezo
0
MAYWEATHER, PACQUIAO, KUZICHAPA TENA SEPTEMBA
0
SHARES
14
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MIAMI, Marekani

BAADA ya kupita miaka 11, bondia Manny Pacquiao kutoka Ufilipino na Mmarekani Floyd Mayweather , wamekubali kuzichapa tena katika pambano la kulipwa litakalopigwa Septemba 19, mwaka huu.

Pacquiao, 47 na Mayweather ,48, wanatarajiwa kuzichapa katika Ukumbi wa Sphere uliopo Las Vegas nchini Marekani huku pambano likitarajiwa kuwa mubashara kupitia Netflix.

Mayweather ambaye ni bingwa wa zamani wa dunia alitangaza kama atarejea ulingoni wiki iliyopita.

Pambano hilo litakuwa la kwanza kwa Mmarekani huyo tangu mwaka 2017, aliposhinda kwa TKO dhidi ya Conor McGregor.

Kwa upande wa Pacquiao alistaafu masumbwi mwaka 2021 kabla ya kurejea Julai mwaka jana alitoka suluhu dhidi ya Mario Barrios katika pambano la ubingwa wa WBC uzito wa welter.

Mara ya kwanza, Mayweather na Pacquiao walizichapa mwaka 2015 katika pambano lililopewa jina la ‘Pambano la Karne’.

Katika pambano hilo lililofanyika Las Vegas, Mayweather alimpiga Pacquiao kwa pointi.

Wakati Mayweather akishinda mapambano yote 50 aliyopigana katika historia yake, Pacquiao, ameshinda 62 kati ya 73.

Previous Post

TAIFA STARS KUKIPIGA FIFA SERIES 2026

Next Post

HISTORIA YA HESHIMA

Next Post
HISTORIA YA HESHIMA

HISTORIA YA HESHIMA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

JESS NAZ APATA MAJANGA

JESS NAZ APATA MAJANGA

7 months ago
Katibu wa Idara ya Organaizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu

GAVU ATAJA SIFA ZA NAFASI URAIS, UBUNGE, UDIWANI

11 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?