• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

MVUA KUBWA KUNYESHA SIKU TANO MIKOA NANE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 21, 2026
in Habari, Kitaifa
0
MVUA KUBWA KUNYESHA SIKU TANO MIKOA NANE
0
SHARES
11
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imetangaza kunyesha mvua kubwa siku tano mfululizo katika mikoa nane nchini, huku ikitoa angalizo kwa wananchi kuchukua tahadhari kuepuka athari.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo, mvua inatarajiwa kunyesha kesho katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Lindi, Mtwara na Pwani huku ikijumisha visiwa vya Mafia na Unguja na Pemba.

Taarifa hiyo ilitaja athari zinazoweza kujitokeza ni baadhi ya makazi kuzungukwa na maji, hivyo kila mwananchi anatakiwa kuchukua tahadhari.

“Kuna uwezekano wa kutokea athari kwa sababu ya mvua hiyo,” ilieleza taarifa ya TMA.

Ilibainisha kuna haja ya kuchukua tahadhari ya mvua hiyo leo, hususan mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Unguja na Pemba.

Previous Post

MWANASHERIA WA KWANZA MWANAMKE UDSM AFARIKI

Next Post

KUKOSA UMAKINI KWAIPONZA YANGA

Next Post
KUKOSA UMAKINI KWAIPONZA YANGA

KUKOSA UMAKINI KWAIPONZA YANGA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

HATUTAVUMILIA UHUJUMU WA MIRADI – NDEJEMBI

HATUTAVUMILIA UHUJUMU WA MIRADI – NDEJEMBI

3 months ago
RAIS DK. MWINYI KUSHUSHA RUNGU WATENDAJI GOIGOI

RAIS DK. MWINYI KUSHUSHA RUNGU WATENDAJI GOIGOI

10 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?