• ePaper
Thursday, July 30, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MABEKI YANGA SC, AZAM FC KIBOKO

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 23, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
MABEKI YANGA SC, AZAM FC KIBOKO
0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na ABDUL DUNIA

UKUTA wa timu za Yanga na Azam FC zimeonesha kuwa kinara wa kutoruhusu mabao mengi hadi sasa katika Ligi Kuu Tanzania Bara, msimu huu.

Kabla ya ligi kusimama kwa lengo la kupisha michuano ya Kombe la Muungano, inayoendelea Zanzibar, tayari timu hizo zilikuwa zimecheza mechi 19.

Katika mechi hizo, Yanga inaongoza  Ligi Kuu ikiwa na pointi 47 wakati Simba inafuatia baada ya kukusanya alama 42, Azam FC yenye pointi 37 inashika nafasi ya tatu huku Singida Black Stars ikiwa nafasi ya nne kwa alama 29.

Pamoja na msimamo huo, Yanga na Azam FC zimeonesha kuwa timu zenye safu bora ya ulinzi hadi sasa, ambapo Yanga iliruhusu mabao matatu huku Azam FC ikifungwa mabao matano.

Kwa mujibu wa msimamo, wababe hao wanafuatiwa na Simba iliyoruhusu mabao saba, Mashujaa mabao 17, TRA United na Pamba Jiji kila moja ikifungwa mabao 18.

Singida Black Stars na JKT Tanzania kila moja imeruhusu mabao 20, Dodoma Jiji na Mtibwa Sugar kila moja imefungwa mabao 21 wakati Coastal Union na Namungo kila moja ikiruhusu mabao 22.

Tanzania Prisons imeruhusu mabao 23, Fountain Gate imefungwa mabao 26 huku KMC na Mbeya City kila moja ikiruhusu mabao 30.

Previous Post

‘KNOCKOUT YA MAMA’ KUWAVUTA MABONDIA KIMATAIFA

Next Post

SIMBA, MAFUNZO HAPATOSHI

Next Post
SIMBA, MAFUNZO HAPATOSHI

SIMBA, MAFUNZO HAPATOSHI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

POLISI WATIA MGUU SAKATA LA NYETI ZA WANAUME

POLISI WATIA MGUU SAKATA LA NYETI ZA WANAUME

4 months ago
YANGA YATAMBIA REKODI LIGI KUU

YANGA YATAMBIA REKODI LIGI KUU

4 months ago

Popular News

  • MVUTANO MAZISHI YA WAMBURA WAFIKA KORTINI, DALILI ZA MARIDHIANO ZACHOMOZA

    MVUTANO MAZISHI YA WAMBURA WAFIKA KORTINI, DALILI ZA MARIDHIANO ZACHOMOZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MAWASILIANO SERIKALINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • 50 BORA ‘FORM SIX’ KUSOMA AI NJE YA NCHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DHAHABU YENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILIONI 1.2/- YAKAMATWA IKITOROSHWA DAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA ATAKA UADILIFU, USHIRIKIANO NA MATOKEO KWA VIONGOZI WAPYA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?