• ePaper
Sunday, August 16, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

HATI YA MAKUBALIANO YA KUANDAA AFCON 2027 YASAINIWA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
May 11, 2026
in Burudani, Habari, Kimataifa, Kitaifa, Michezo
0
HATI YA MAKUBALIANO YA KUANDAA AFCON 2027 YASAINIWA
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

NCHI  waandaji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa  ya Afrika 2027 (AFCON 2027), wamesaini hati ya makubaliano ya pamoja inayojulikana kama CAF Joint Resolution – TotalEnergies AFCON PAMOJA 2027, leo Mei  11, 2026.

Nchi hizo ambazo ni Tanzania Kenya na Uganda, zimesaini hati hiyo kwa lengo la kuimarisha uratibu na ushirikiano katika maandalizi ya mashindano hayo makubwa ya barani Afrika.

Utiaji saini makubaliano hayo yameshuhudiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk. Patrice Motssepe.

Tanzania imewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Paul Makonda na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wakiongozwa na Rais Wallace Karia.

Previous Post

MTIHANI MZITO KWA MOALIN

Next Post

TANZANIA YASISITIZA KUTUMIA AKILI UNDE KUKABILI MAAFA

Next Post
TANZANIA YASISITIZA KUTUMIA AKILI UNDE KUKABILI MAAFA

TANZANIA YASISITIZA KUTUMIA AKILI UNDE KUKABILI MAAFA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SINGIDA, SIMBA BALAA ZITO LEO

SINGIDA, SIMBA BALAA ZITO LEO

5 months ago
‘TUTAPELEKA MIRADI KWA WANANCHI WOTE’

‘TUTAPELEKA MIRADI KWA WANANCHI WOTE’

6 months ago

Popular News

  • KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TAMU, CHUNGU DABI YA K’KOO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TEC

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AWAPA RAHA VIGOGO USHIRIKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BILIONI 30/- KUJENGA UWANJA WA KISASA SIMBA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?