• ePaper
Friday, October 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

RAIS DK. SAMIA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI ANGOLA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
July 31, 2026
in Habari, Kitaifa
0
RAIS DK. SAMIA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI ANGOLA
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

RAIS  Dk. Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo Julai 31, 2026 kwenda Angola kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, João Manuel Gonçalves Lourenço.

Akiwa nchini Angola, Rais Dk.  Samia atashiriki uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jijini Luanda.

Hafla hiyo pia itahudhuriwa na familia ya Mwalimu Nyerere ikiongozwa na mama Maria Nyerere.

Mbali na hilo, Rais Dk. Samia atafanya mazungumzo na Rais Lourenço pamoja na kushiriki hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na wenza wa Marais wa Afrika.

Ziara hiyo inalenga kuendelea kuimarisha uhusiano wa kihistoria na wa kindugu kati ya Tanzania na Angola, uliojengwa tangu enzi za harakati za ukombozi wa Bara la Afrika.

Previous Post

RAIS DK. SAMIA ATHIBITISHA NIA YA MARIDHIANO KUELEKEA MCHAKATO WA MABORESHO YA KATIBA

Next Post

WAZIRI MKUU AZINDUA BOTI MBILI ZA DORIA NA UOKOZI

Next Post
WAZIRI MKUU AZINDUA BOTI MBILI ZA DORIA NA UOKOZI

WAZIRI MKUU AZINDUA BOTI MBILI ZA DORIA NA UOKOZI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

RAIS DK. SAMIA ATOA MWELEKEO WA KITAIFA

RAIS DK. SAMIA ATOA MWELEKEO WA KITAIFA

6 months ago
RAIS DK. SAMIA ATAJWA CHAPA IMARA TANZANIA

RAIS DK. SAMIA ATAJWA CHAPA IMARA TANZANIA

8 months ago

Popular News

  • WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA SIMBA AICHIMBA YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMULIZI MKASA WA MWANAMKE ANAYEDAIWA KUUAWA KWA RISASI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TPA YAELEZA SIRI UTOAJI HUDUMA BORA BANDARINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?