• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

DK. SAMIA AAHIDI NEEMA ZAIDI GAIRO

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
August 31, 2025
in Habari, Kitaifa, Siasa, Uchaguzi
0
DK. SAMIA AAHIDI NEEMA ZAIDI GAIRO
0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MUSSA YUSUPH

MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga vituo vitano vya afya na zahanati 10 vitakavyoongeza wigo wa upatikanaji huduma za afya kwa wananchi wilayani Gairo.

Dk. Samia ametoa ahadi hiyo wilayani hapo (Agosti 30 mwaka huu) kwenye mkutano wake wa kampeni ambapo alisema katika miaka minne na nusu ya uongozi wake, Gairo imepiga hatua kubwa za maendeleo.

“Tutaimarisha huduma za afya kwa kujenga vituo vya afya vitano katika kata tano na zahanati 10. Pia, tutakamilisha ujenzi wa kituo cha mafunzo ya ufundi stadi (VETA) ili vijana wapate ujuzi utakaosaidia kujiari na kuajiriwa.

Ameongeza: “Katika kipindi cha pili cha miaka mitano, tunakwenda kushughulikia barabara ya Lubeho – Kiswiti, Tabu Hoteli – Kitange, Chakwale – Mtumbatu na Chakwale – Lesaka. Pia barabara nyingine ni Gairo – Nongwe ambayo itakamilshwa.”

Amesema barabara hizo zinakwenda kuwekwa lami sambamba na kuongeza vituo vya afya vingine vitano katika kata za Rubeho, Idigo, Chakwale, Madenge na Leshata.

Kwa upande wa sekta ya mifugo, Rais Dk. Samia amesema serikali yake mara baada ya kuingia madarakani itajenga machinjio ya kisasa manne katika maeneo ya wafugaji.

Previous Post

MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUBAKI HISTORIA

Next Post

DK. NCHIMBI : CCM INAJIVUNIA MTAJI MKUBWA WA WANACHAMA

Next Post
DK. NCHIMBI : CCM INAJIVUNIA MTAJI MKUBWA WA WANACHAMA

DK. NCHIMBI : CCM INAJIVUNIA MTAJI MKUBWA WA WANACHAMA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

GAMONDI MATUMAINI KIBAO, WADAU WAIPA TANO STARS

GAMONDI MATUMAINI KIBAO, WADAU WAIPA TANO STARS

9 months ago
SIMBA, YANGA  ZAITA MASHABIKI

SIMBA, YANGA  ZAITA MASHABIKI

11 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?