• ePaper
Monday, May 25, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

IBENGE ALIA NA WASHAMBULIAJI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 5, 2025
in Burudani, Michezo
0
IBENGE ALIA NA WASHAMBULIAJI

KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge

0
SHARES
15
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na NASRA KITANA

BAADA ya kupata suluhu dhidi ya Singida Black Stars, Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema kilio chake kikubwa hivi sasa ni wachezaji wake kushindwa kutumia vyema nafasi wanazozipata.

Azam FC ililazimishwa suluhu hiyo juzi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Ibenge amesema sababu kubwa iliyofanya washindwe kupata matokeo mazuri ni wachezaji wake kukosa utulivu eneo la mwisho hiyo kusababisha kushindwa kupata matokeo.

Amesema ana kazi kubwa ya kuhakikisha anawanoa washambuliaji wake watumie vyema nafasi wanazozipata kutimiza malengo.

“Sare tatu mfululizo siyo kitu kizuri ndani ya timu hiyo inasababishwa na wachezaji wangu kukosa utulivu eneo la mwisho, hivyo nina kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha wanatumia vyema nafasi wanazozitengeneza,” amesema Ibenge.

Naye Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema kikosi chake hakijacheza vizuri ila anafurahia kupata pointi moja muhimu.

Alisema kuwa kupata pointi moja ugenini ni jambo zuri lakini anaimani kuwa timu yake itaenda kufanya vizuri zaidi katika mechi zinazofuata.

Previous Post

SIMBASC INATOBOA HAPA KIMATAIFA

Next Post

JUKWAA LA WANAWAKE LAIBUKA  NA MAAZIMIO 10 KUHUSU AMANI

Next Post
JUKWAA LA WANAWAKE LAIBUKA  NA MAAZIMIO 10 KUHUSU AMANI

JUKWAA LA WANAWAKE LAIBUKA  NA MAAZIMIO 10 KUHUSU AMANI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

TANZANIA IPO SALAMA MIKONONI MWA CCM – PETER MSIGWA  

TANZANIA IPO SALAMA MIKONONI MWA CCM – PETER MSIGWA  

9 months ago
WACHEZAJI LIGI KUU YA ENGLAND WATAKAOTIMKIA AFCON MOROCCO

WACHEZAJI LIGI KUU YA ENGLAND WATAKAOTIMKIA AFCON MOROCCO

5 months ago

Popular News

  • WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII

    WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUWA MACHO DHIDI YA WAVUNJA AMANI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KILIO CHA BANDO CHATUA BUNGENI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ZIARA YA KIHONGOSI YAACHA NEEMA KWA WANAWAKE MARA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TANZANIA YAJIPANGA KUDHIBITI MIJI HOLELA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?