• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

‘TUMUOMBEE KARDINALI PENGO’

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 25, 2025
in Habari, Kitaifa
0
‘TUMUOMBEE KARDINALI PENGO’
0
SHARES
16
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa’ichi, amesema hali ya afya ya Kardinali Polycarp Pengo, siyo nzuri kutokana na changamoto za kiafya zinazomkabili.

Taarifa ya Askofu Ruwa’ichi iliyotolewa jana, ilitoa wito kwa Wakatoliki kumwombea Kardinali Pengo.

“Mzee wetu mpendwa Kardinali Policarp Pengo anakabiliwa na changamoto za kiafya. Zimefanyika jitihada za kumsaidia kimatibabu hapa kwetu. Hata hivyo, imeonekana kwamba upo uhitaji wa kumpeleka nje ili apate matibabu ya uhakika zaidi.

“Kwa hiyo, mipango imefanyika ili akatibiwe India. Tunatarajia kwamba ataondoka siku za usoni kwa lengo la matibabu hayo. Ninawaalika nyote tuungane kumsindikiza kwa sala na matamshi mema,” alisema Askofu Ruwa’ichi.

Previous Post

KIBANO KIKALI WALIOZIMA ‘X-RAY’ TEMEKE

Next Post

TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Next Post
TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO

TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

WAZIRI MKUU AWASHUKIA WACHOCHEZI MIGOGORO

WAZIRI MKUU AWASHUKIA WACHOCHEZI MIGOGORO

3 months ago
DK. NCHIMBI: NYERERE MFANO WA UADILIFU

DK. NCHIMBI: NYERERE MFANO WA UADILIFU

3 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?