• ePaper
Sunday, May 31, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

WAZIRI MCHENGERWA AAGIZA UCHUNGUZI HOSPITALI YA TEMEKE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 26, 2025
in Habari, Kitaifa
0
WAZIRI MCHENGERWA AAGIZA UCHUNGUZI HOSPITALI YA TEMEKE
0
SHARES
13
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU

KATIKA siku za hivi karibuni, kumebainika kuwepo kwa utendaji usioridhisha katika Hospitali ya Temeke, ikiwemo kuzimwa kwa mashine ya X-Ray pamoja na vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa bila uoga.

Ufuatiliaji wa siri uliofanywa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, umebaini kuwa baadhi ya walinzi na watoa huduma wanahusika na vitendo hivyo, sambamba na kutoa kauli zisizo za staha kwa wagonjwa.

Imeelezwa kuwa baadhi ya watumishi hao wamekuwa wakiwafokea na kuwadharau wagonjwa, hali inayokiuka maadili ya kazi na misingi ya utoaji wa huduma za afya.

Kufuatia hali hiyo, Waziri Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, kufanya uchunguzi wa kina katika hospitali hiyo ili kubaini chanzo cha changamoto hizo na kuwachukulia hatua za kisheria na kinidhamu watakaobainika kuhusika, kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma.

Aidha, Waziri Mchengerwa ametoa wito kwa watumishi wote wa sekta ya afya nchini kubadilika na kuzingatia maadili ya kazi, akisisitiza kuwa Serikali haitasita kuchukua hatua kali dhidi ya watumishi wazembe, wala rushwa au wanaokiuka misingi ya maadili ya utumishi.

Previous Post

SIMBACHAWENE ATAJA MAAGIZO YA RAIS DK. SAMIA

Next Post

KETE MUHIMU KWA TAIFA STARS AFCON

Next Post
KETE MUHIMU KWA TAIFA STARS AFCON

KETE MUHIMU KWA TAIFA STARS AFCON

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

YAJUE MATUKIO YA MICHEZO YALIYOWEKA ALAMA MWAKA 2025

YAJUE MATUKIO YA MICHEZO YALIYOWEKA ALAMA MWAKA 2025

5 months ago
DK. MIGIRO AJA KIVINGINE CCM

DK. MIGIRO AJA KIVINGINE CCM

5 months ago

Popular News

  • SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAS: UTUNZAJI MAZINGIRA AJENDA YA KIPAUMBELE KWA MKOA WA MWANZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UPELE UMEPATA MKUNAJI STARS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ‎ RAIS DK. SAMIA: POLISI MSIDHARAU TAARIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWIGULU ATETA NA WAZIRI MKUU WA CONGO BRAZZAVILLE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?