• ePaper
Sunday, May 31, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

BONDIA DULLAH MBABE AWAITA MASHABIKI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 24, 2026
in Burudani, Habari, Michezo
0
BONDIA DULLAH MBABE AWAITA MASHABIKI
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA 

BONDIA wa ngumi za kulipwa, Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ amewaita mashabiki na wadau wa mchezo huo kujitokeza kwa wingi katika pambano la ‘Boxing Fighting Championship’.

Dullah Mbabe atapanda ulingoni kuzichapa Daudi Mgaya katika pambano la utangulizi la raundi nane, uzito wa juu litakalofanyika Ukumbi wa Superdome uliopo Masaki, Dar es Salaam, Januari 30, mwaka huu .

Akizungumza Dar es Salaam, Dullah Mbabe’ alisema maandalizi yake yako vizuri na siku hiyo amejipanga kucheza mchezo mzuri hivyo wadau wajipange.

“Nawaomba wadau wa ngumi na mashabiki wajitokeze kwa wingi siku hiyo kwani nimewaandalia burudani nzuri ambayo watafurahi.

“Narudi katika ukubwa mwingine ambao kila mtu atashangaa kuniona maana nina kiu ya kucheza katika viwango vikubwa, hivyo mashabiki wangu wakae tayari kuniona, “alisema Dullah Mbabe’.

Bondia huyo alisema hivi sasa anaendelea na mazoezi ya kujiweka fiti huku akisubiri siku ya pambano ifike aoneshe kazi nzuri.

“Najua wadau wa ngumi wamenikosa kwa kipindi kirefu, nimejipanga sitowaangusha kabisa maana nina kiu ya kupata ushindi, “alisema Dullah Mbabe.

Previous Post

KAPOMBE, DUCHU WATOA MSIMAMO SIMBA

Next Post

MAFANIKIO YA UONGOZI WA RAIS DK. SAMIA NA HAKIKISHO LA UAMINIFU KATIKA MFUMO WA FEDHA

Next Post
MAFANIKIO YA UONGOZI WA RAIS DK. SAMIA NA HAKIKISHO LA UAMINIFU KATIKA MFUMO WA FEDHA

MAFANIKIO YA UONGOZI WA RAIS DK. SAMIA NA HAKIKISHO LA UAMINIFU KATIKA MFUMO WA FEDHA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK.NCHIMBI AMTAJA ASKOFU MFUMBUSA NGUZO YA UMOJA

DK.NCHIMBI AMTAJA ASKOFU MFUMBUSA NGUZO YA UMOJA

1 month ago
CHANETA IMANI KIBAO NA TUME HURU YA UCHUNGUZI

CHANETA IMANI KIBAO NA TUME HURU YA UCHUNGUZI

2 months ago

Popular News

  • SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAS: UTUNZAJI MAZINGIRA AJENDA YA KIPAUMBELE KWA MKOA WA MWANZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UPELE UMEPATA MKUNAJI STARS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ‎ RAIS DK. SAMIA: POLISI MSIDHARAU TAARIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWIGULU ATETA NA WAZIRI MKUU WA CONGO BRAZZAVILLE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?