• ePaper
Sunday, May 31, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

RAIS DK. MWINYI : HURUMA NA UADILIFU VIWE KIPAUMBELE MWEZI MTUKUFU

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
February 21, 2026
in Habari, Kitaifa
0
RAIS DK. MWINYI : HURUMA NA UADILIFU VIWE KIPAUMBELE MWEZI MTUKUFU
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza waumini wa Dini ya Kiislamu na wananchi kwa ujumla kuhurumiana na kuwasaidia wasio na uwezo, hususan katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Rais Dk. Mwinyi ametoa wito huo leo, Februari 20, 2026, alipojumuika na waumini katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Al Abrar, Fuoni Chunga, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Aidha, Rais Dk. Mwinyi amewakumbusha wafanyabiashara kutopandisha bei za bidhaa za chakula ili kuwawezesha wananchi kumudu mahitaji ya futari.

Halikadhalika, amewataka wakaazi wa Fuoni Chunga kutoyauza maeneo yao kufuatia kupanda kwa thamani baada ya ujenzi wa barabara, na kusisitiza umuhimu wa kulinda maeneo ya kilimo kwa ajili ya uzalishaji wa chakula na matunda.

Kwa upande wake, Katibu Mtendaji wa Afisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Khalid Ali Mfaume, amewahimiza waumini kumcha Mwenyezi Mungu na kuzingatia matendo ya halali.

Rais Dk. Mwinyi ameendeleza utaratibu wake wa kushiriki Sala ya Ijumaa katika misikiti mbalimbali mjini na vijijini.

Previous Post

MATOKEO YAMSIKITISHA KOCHA YANGA

Next Post

KARDINALI PENGO AACHA SIMANZI

Next Post
KARDINALI PENGO AACHA SIMANZI

KARDINALI PENGO AACHA SIMANZI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

HAPATOSHI LIGI YA MABINGWA ULAYA

HAPATOSHI LIGI YA MABINGWA ULAYA

2 months ago
DK. NCHIMBI KUONGOZA KUAGWA JENISTA MHAGAMA

DK. NCHIMBI KUONGOZA KUAGWA JENISTA MHAGAMA

6 months ago

Popular News

  • SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAS: UTUNZAJI MAZINGIRA AJENDA YA KIPAUMBELE KWA MKOA WA MWANZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UPELE UMEPATA MKUNAJI STARS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ‎ RAIS DK. SAMIA: POLISI MSIDHARAU TAARIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWIGULU ATETA NA WAZIRI MKUU WA CONGO BRAZZAVILLE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?