• ePaper
Friday, October 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

KOCHA GABON AITAKANUSU FAINALI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 25, 2025
in Burudani, Kimataifa, Michezo
0
KOCHA GABON AITAKANUSU FAINALI
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RABAT, Morocco

KOCHA wa timu ya taifa ya Gabon, Thierry Mouyouma, amesema mipango yake ni kufika nusu fainali katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025).

 Kocha Mouyouma alisisitiza amejipanga kufanya vyema katika michuano hiyo na  mipango yake ni kufika hatua ya nusu fainali.

Alisema kikosi chake kimesheheni wachezaji wenye uwezo mzuri wa kumsaidia kufanya vyema katika michuano hiyo msimu huu.

Alisema alishapata uzoefu wa michuano hiyo akiwa kama mchezaji, hivyo ana imani atatumia mbinu mbalimbali kuhakikisha anafikia malengo msimu huu.

“Nitatumia uozefu wangu katika michuano ya AFCON 2025 kuhakikisha tunafikia malengo tuliyojiwekea.

“Nilipata uzoefu nikiwa mchezaji, hivi sasa ni kocha, hivyo ninaamini tutafanya vizuri katika michuano ya msimu huu na kufika hatua ya nusu fainali,” alisema.

Alisema anatambua wamepangwa kundi lenye timu zenye uzoefu na michuano hiyo, lakini wamejipanga kupambana ili kutimiza malengo waliyojiwekea.

(BBC)

Previous Post

BOUANGA MATUMAINI KIBAO

Next Post

MIILI YA WALIOFARIKI AJALI YA HELKOPTA YATAMBULIWA

Next Post
MIILI YA WALIOFARIKI AJALI YA HELKOPTA YATAMBULIWA

MIILI YA WALIOFARIKI AJALI YA HELKOPTA YATAMBULIWA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

TAIFA STARS KATIKA AFCON YA NDOTO

TAIFA STARS KATIKA AFCON YA NDOTO

10 months ago
NGORONGORO HEROES YAFUZU AFCON

NGORONGORO HEROES YAFUZU AFCON

2 weeks ago

Popular News

  • WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA SIMBA AICHIMBA YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMULIZI MKASA WA MWANAMKE ANAYEDAIWA KUUAWA KWA RISASI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TPA YAELEZA SIRI UTOAJI HUDUMA BORA BANDARINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?