• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

JOSHUA APATA AJALI NIGERIA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 30, 2025
in Burudani, Michezo
0
JOSHUA APATA AJALI NIGERIA
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

LAGOS, NIGERIA

BONDIA wa ngumiu za kulipwa uzito wa juu duniani, Muingereza Anthony Joshua, amepata majeraha katika ajali ya gari iliyotokea jana katika barabara kuu ya Ogun jijini Lagos nchini Nigeria, ambapo watu wawili wamefariki dunia.

Kwa mujibu wa BBC, Polisi wa Jimbo la Ogun nchini humo, imesema kuwa Joshua, mwenye umri wa miaka 36 na mzaliwa wa familia yenye asili ya Sagamu nchini Nigeria, alipata majeraha madogo lakini yupo salama huku wengine waliokuwa wamejeruhiwa walikimbizwa hospitalini.

BBC imeeleza kuwa vyombo vya habari vya ndani (Nigeria), vimeripoti kuwa Joshua alikuwa nyuma ya dereva wakati gari lake aina ya Lexus, lilipogonga lori lililokuwa limeegeshwa. 

“Mashuhuda walisema kuwa gari hilo lilikuwa na abiria wanne, akiwemo Joshua. Watu wake wa ulinzi walikuwa katika gari lingine lililokuwa nyuma yao kabla ya kutokea kwa ajali hiyo,” ilieleza BBC.

Polisi na vyombo vya habari vya ndani vinaendelea kufuatilia hali ya Joshua na pamoja na uchunguzi zaidi wa ajali hiyo.

Joshua alikwenda Nigeria baada ya kumaliza kuzichapa na Jake Paul katika pambano lisilo la ubingwa lililofanyika Desemba 19, mwaka huu nchini Uingereza.

Previous Post

YAJUE MATUKIO YA MICHEZO YALIYOWEKA ALAMA MWAKA 2025

Next Post

DK. MWIGULU ASHUSHA PRESHA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI

Next Post
DK. MWIGULU ASHUSHA PRESHA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI

DK. MWIGULU ASHUSHA PRESHA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SAMAMBA AWAFUNDA WAKAGUZI MADINI

SAMAMBA AWAFUNDA WAKAGUZI MADINI

3 months ago
NI ZIARA YA KIUCHUMI

NI ZIARA YA KIUCHUMI

7 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?