• ePaper
Thursday, April 16, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

KARIA ATAKA WANAMICHEZO KUDUMISHA AMANI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 3, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
KARIA ATAKA WANAMICHEZO KUDUMISHA AMANI
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na NASRA KITANA

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Wallace Karia amewataka wanamichezo nchini, kuhakikisha wanaendelea kudumisha amani kwani ndiyo nguzo ya kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jijini Dar es Salaam, Karia amesema kuwa amani na mashikamano kwa nchi inasaidia kuendeleza michezo nchini na kupata burudani pale wanapoenda viwanjani.

“Amani katika kila jambo ndio msingi katika kila kitu, hivyo sis Watanzania tunatakiwa kuhakikisha kwamba amani inalindwa ili michezo ifanyike na kukuza soka letu na kuongeza pato la taifa kupitia michezo,” amesema.

Karia amesema amani ni nguzo ya taifa na alama ya Mtanzania kwani taifa hili ni nchi ambayo imejenga umoja,upendo na mshikamano.

“Napenda kuwahamasisha wadau wa michezo, kuimarisha amani na mshikamano, pia nawaomba vijana wote kushiriki michezo kwani michezo kwa sasa ni burudani, afya na ajira ndio maana Rais Dk. Samia Suluhu Hassani amewekeza fedha nyingi katika sekta ya michezo,” alisema Karia.

Karia alisema Tanzania imeweza kushiriki katika michezo, ndani na nje ya nchi sababu ni nchi yenye amani hivyo, kila mmoja anatakiwa kulinda na kuitunza amani ya nchi.

Previous Post

DK. MWIGULU AFUNGUKA MAANDALIZI AFCON 2027

Next Post

YANGA YATAMBIA REKODI LIGI KUU

Next Post
YANGA YATAMBIA REKODI LIGI KUU

YANGA YATAMBIA REKODI LIGI KUU

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MAFANIKIO YA WATANZANIA YAKO KATIKA MATENDO – DK. MIGIRO

MAFANIKIO YA WATANZANIA YAKO KATIKA MATENDO – DK. MIGIRO

6 months ago
DK. MWINYI ATANGAZA NEEMA KWA VIJANA

DK. MWINYI ATANGAZA NEEMA KWA VIJANA

6 months ago

Popular News

  • MAFANIKIO YA KISHINDO SGR

    MAFANIKIO YA KISHINDO SGR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NYAMBUI AFUNGUKAAMANI KATIKA MICHEZO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA, MBEYA CITY KAZI IPO LEO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. MWINYI AFICHUA KUWA NA KIPAJI CHA SOKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • PROFESA IBRAHIM ATIA NENO TUME YA JAJI CHANDE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?