• ePaper
Thursday, June 25, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Uncategorized

NUSU FAINALI YA VIGOGO AFCON

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 14, 2026
in Uncategorized
0
NUSU FAINALI YA VIGOGO AFCON
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RABAT, Morocco

TIMU nne vigogo leo zitashuka dimbani katika mechi mbili za nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, zitakazochezwa nchini Morocco.

Timu hizo ni Misri itakayochuana na Senegel saa 2:00 usiku wakati  mwenyeji Morocco ikicheza na Nigeria saa 5:00 usiku.

Misri ambayo ni bingwa mara saba wa michuano hiyo itacheza na Senegal ambayo ni bingwa mara moja katika Uwanja wa Tanger.

Kikosi cha Misri kimetinga hatua hiyo baada ya kuitoa Ivory Coast kwa ushindi wa mabao 3-2 huku Senegal ikiiondosha Mali kwa bao 1-0 katika robo fainali.

Kwa upande wa Morocco ambayo ni bingwa mara moja itachuana na Nigeria ambayo ni bingwa mara tatu katika Uwanja wa Prince Moulay Abdellah jijini Rabat.

Morocco ilifika hatua hiyo baada ya kuitoa Cameroon kwa ushindi wa mabao 2-0 wakati Nigeria ikiifunga Algeria kwa ushindi wa 2-0 katika robo fainali.

Previous Post

JASHO LIMEMWAGIKA

Next Post

ROONEY KUREJEA MAN UNITED

Next Post
ROONEY KUREJEA MAN UNITED

ROONEY KUREJEA MAN UNITED

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MO DEWJI AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA

MO DEWJI AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA

4 months ago
IDADI WAGONJWA FIGO YAFIKIA 3,342

IDADI WAGONJWA FIGO YAFIKIA 3,342

4 months ago

Popular News

  • SERIKALI YAZITAKA TAASISI ZOTE KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL-NINO

    SERIKALI YAZITAKA TAASISI ZOTE KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL-NINO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SAMAMBA AWAFUNDA WAKAGUZI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RUNGU ZITO KUWASHUKIA WAWEKEZAJI ‘JANJAJANJA’

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA, SIMBA KAZI KAZI UBINGWA LIGI KUU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA, AZAM FC HAIJAISHA HADI IISHE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?