• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

SINGIDA BS YAIPANIA SIMBA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 9, 2026
in Burudani, Habari, Michezo
0
SINGIDA BS YAIPANIA SIMBA
0
SHARES
11
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

UONGOZI wa Singida Black Stars umetamba kuwa kikosi chao kipo vizuri kuisambaratisha Simba kesho.

Pia,umewaomba wadau, Mashabiki wa timu hiyo kufika kwa wingi katika Uwanja wa Airtel kuwapa sapoti wachezaji wao washinde.

Timu hizo, zinatarajiwa kucheza Machi 11, mwaka huu katika uwanja huo kuanzia saa 10:15 jioni.

Akizungumza maandalizi ya mchezo huo, Msemaji wa timu hiyo, Hussein Massanza alisema walipoteza mechi dhidi ya Yanga na sasa wamejipanga kuhakikisha wanafanya vizuri.

“Hivi sasa tumerudi katika uwanja wetu, tumejipanga kuhakikisha tunafanya vizuri huu ni mchezo wenye hadhi kubwa.

” Tunafahamu Simba ni timu ambayo imeimarika kwa hiyo tutapambana kwa nguvu zote tuweze kushinda mchezo huo,”alisema.

Massanza alisema mchezo huo, utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na uimara wa  kikosi cha Simba.

“Tunatarajia kupokea wageni wengi kutoka sehemu mbalimbali lakini tumejipanga kufanya vizuri kwa kuchinja mnyama na kuwapa furaha mashabiki wetu,” alisema.

Previous Post

YANGA TAMBO  TU 

Next Post

CELTIC, RANGERS WATIA AIBU

Next Post
CELTIC, RANGERS WATIA AIBU

CELTIC, RANGERS WATIA AIBU

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SERIKALI YATOA NENO SIMBASC

SERIKALI YATOA NENO SIMBASC

8 months ago
RAIS DK. SAMIA ASIMULIA UIMARA WA JENISTA

RAIS DK. SAMIA ASIMULIA UIMARA WA JENISTA

7 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?