• ePaper
Sunday, May 31, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

NETIBOLI WATAKA AMANI MICHEZONI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 9, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
NETIBOLI WATAKA AMANI MICHEZONI
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

UONGOZI wa Chama cha Netiboli Mkoa wa Dar es Salaam umesema utakuwa mabalozi wakubwa katika kulinda amani ya nchi kwani ni tunu muhimu.

Akizungumza Dar es Salaam, Mwenyekiti wa chama hicho, Enelisa Chekwaze alisema serikali imehakikisha amani ya nchi inakuwa shwari hivyo ni wajibu wa watanzania kulinda tunu hiyo.

Alisema nchi ikiwa haina amani hakuna jambo lolote linafanyika kwa sababu kunakuwa na vurugu ambazo zinaleta madhara kwa jamii.

“Amani ndiyo kila kitu katika nchi yetu, pia nina imani na tume huru iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa sababu watu aliowachagua watafanya kazi kwa weledi,” alisema.

Mwenyekiti huyo alitoa wito kwa watanzania kuhakikisha walinda amani ya nchi kwani ndiyo kitu muhimu ambacho baadhi ya nchi zinashindwa kutokana na vurugu.

“Nchi yetu imekuwa nzuri na baadhi ya watu wanaipenda yote kutokana na amani na upendo uliopo, hivyo ni vyema kuendelea hii hali ili kulinda msingi wetu uliojengwa na Baba wa taifa hayati mwalimu Julius Nyerere,” alisema.

Previous Post

JAJI CHANDE AJIBU HOJA 8 NZITO TUME

Next Post

RAIS DK. SAMIA AWAKOSHA WABUNGE

Next Post
RAIS DK. SAMIA AWAKOSHA WABUNGE

RAIS DK. SAMIA AWAKOSHA WABUNGE

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. MWINYI AFAFANUA MSINGI WA MAENDELEO

DK. MWINYI AFAFANUA MSINGI WA MAENDELEO

8 months ago
CCM YAFUNGUKA RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE

CCM YAFUNGUKA RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE

1 month ago

Popular News

  • SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAS: UTUNZAJI MAZINGIRA AJENDA YA KIPAUMBELE KWA MKOA WA MWANZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UPELE UMEPATA MKUNAJI STARS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ‎ RAIS DK. SAMIA: POLISI MSIDHARAU TAARIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWIGULU ATETA NA WAZIRI MKUU WA CONGO BRAZZAVILLE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?