• ePaper
Thursday, September 17, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MEXICO YAANZA KWA KISHINDO WC, KADI ZATEMBEA HATARI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
June 12, 2026
in Burudani, Michezo
0
MEXICO YAANZA KWA KISHINDO WC, KADI ZATEMBEA HATARI
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

TIMU ya taifa ya Mexico imeanza kwa kishindo katika Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Afrika Kusini.

Mexico ilipata ushindi huo katika mtanange wa ufunguzi uliopigwa Uwanja wa Mexico City, Mexico.

Mabao ya Mexico yalifungwa na Quinones dakika ya tisa na Raul Jimenez dakika ya 67.

Katika mtanange huo, zilitoka kadi tatu nyekundu, mbili kwa Afrika Kusini na moja kwa Mexico.

Wachezaji wa Afrika Kusini waliopata kadi nyekundu ni Sithole na Zwane wakati wa Mexico ni Montes.

Nyota hao walipata kadi kwa muda tofauti kutokana na sababu za mbalimbali.

Mexico ndiyo kinara wa kundi A la michuano hiyo ikiwa na pointi tatu.

Previous Post

NI MWENDO WA KIDIGITALI, SUKARI SASA KUCHANGIA BIMA YA AFYA

Next Post

YANGA, SIMBA NI KIVINGINE ZAIDI

Next Post
YANGA, SIMBA NI KIVINGINE ZAIDI

YANGA, SIMBA NI KIVINGINE ZAIDI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DRC WAISHUKURU SERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUTOA HIFADHI YA WAKIMBIZI

DRC WAISHUKURU SERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUTOA HIFADHI YA WAKIMBIZI

8 months ago
MAMBO YAANZA KUNOGA MEI MOSI

MAMBO YAANZA KUNOGA MEI MOSI

5 months ago

Popular News

  • KIVUMBI SIMBA, AZAM FC

    KIVUMBI SIMBA, AZAM FC

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMBA HII GUSA UNASE CAFCL

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UNDANI UGONJWA WA FIGO NA MATIBABU YAKE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?