• ePaper
Sunday, September 13, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

AFRIKA KUCHOCHEA UTUNZAJI MAZINGIRA KUPITIA NISHATI SAFI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
June 12, 2026
in Habari, Kitaifa
0
AFRIKA KUCHOCHEA UTUNZAJI MAZINGIRA KUPITIA NISHATI SAFI
0
SHARES
15
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

‎WAAFRIKA hivi sasa wanaendelea kupata huduma mbalimbali kuhakikisha wanapunguza pengo la kidijitali na kuchochea utunzaji wa mazingira kupitia nishati safi.

‎Katika ripoti ya Maendeleo ya 2026, inayobainisha mafanikio yaliyopatikana katika kupanua huduma za mawasiliano, inaonesha jinsi uwekezaji wa Airtel Afrika katika miundombinu ya kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi, pamoja na ushirikiano wa kimkakati, ulivyoendelea kubadilisha maisha ya watu na kufungua fursa za kiuchumi na kijamii kwa jamii ambazo bado hazijafikiwa kikamilifu na huduma hizo, hususan katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara.

‎Akizungumzia ripoti hiyo, Mtendaji Mkuu wa Airtel Afrika, Sunil Taldar, alisema:

‎”Barani Afrika, upatikanaji wa mawasiliano, huduma za kifedha na elimu ya kidijitali unazidi kuwa muhimu katika kufungua fursa za kiuchumi. Airtel Africa inaendelea kupanua huduma hizi kwa mamilioni ya watu, hususan katika maeneo ya vijijini na yale ambayo bado hayajafikiwa kikamilifu.”

‎“Katika mwaka huu, tumeendelea kupanua huduma za mtandao, kuongeza matumizi ya simu janja na kuimarisha huduma za Airtel Money, sambamba na kuendeleza ushirikiano wa kimkakati unaochangia mafanikio ya shughuli zetu,”.

Alisisitiza, maendeleo hayo yameendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wao wa kukuza biashara na kutoa huduma bora kwa wateja. Aidha, kwa kuboresha matumizi ya nishati na kupunguza utegemezi wa dizeli, kuimarisha ufanisi na ustahimilivu wa shughuli mbalimbali za kukichangia ukuaji endelevu wa biashara na jamii.

Previous Post

MWAKINYO AOMBA RADHI

Next Post

RAIS DK. SAMIA ATAKA MIKOPO ISIWE MZIGO

Next Post
RAIS DK. SAMIA ATAKA MIKOPO ISIWE MZIGO

RAIS DK. SAMIA ATAKA MIKOPO ISIWE MZIGO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MATARAJIO YA WASOMI TUME YA JAJI CHANDE

MATARAJIO YA WASOMI TUME YA JAJI CHANDE

6 months ago
DK. SAMIA, MWINYI WAMELETA MAENDELEO NCHINI – DK. NCHIMBI

DK. SAMIA, MWINYI WAMELETA MAENDELEO NCHINI – DK. NCHIMBI

11 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?